Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akiongea na baadhi ya
wakazi wa kahama waliofika hospitalini hapo kuangalia wagonjwa wao.Waziri.Ummy Mwalimu akitoa angalizo kwa wagonjwa waliofika kupata matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa.shinyanga.Mh.Ummy
Mwalimu akiwaelekeza kamati ya afya ya wilaya ya kahama mahali
linapotakiwa kuwekwa bango linaonesha huduma za wazee inapopatikana.Mkuu
wa wilaya ya Kahama Mh.Vita Kawawa(Katikati) akionesha kwa vitendo
bango hilo linapotakiwa kuwekwa,kushoto ni Mh.Ummy Mwalimu na kulia ni
mkurugenzi wa halmashauri ya mji kahama Anderson Msumba.Mfamasia
Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Luciano Lodrick
akimpatia maelezo waziri ,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto
jinsi ya utengenezaji wa maji tiba.
Sign up here with your email