Genge la wakulima takribani 100 wanaodaiwa kuwa wakazi wa kijiji cha Ming’enyi kata ya Gehandu wilayani Hanang mkoani Manyara wakiwa na silaha baridi wamevamia makazi na karakana ya mwekezaji wa kampuni ya Ngano LTD katika shamba la Gidagamouwd na kudaiwa kufanya uharibifu wa mali na wizi,hasara inayodhaniwa kufikia takribani shilingi milioni 120 huku wakulima 10 tayari wakikamatwa.
Sign up here with your email