WAKINAMAMA WA SOKONI WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA. - Rhevan Media

WAKINAMAMA WA SOKONI WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA.



Mwenyekiti wa Soko la Kisutu Tamimu Chande akizungumza katika Kampeni ya Kuongeza uelewa wa kupinga ukatili wa Kijinsia katika Soko la Kisutu Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo inaendeshwa na Shirika la Eqiuality for Growth (EfG).
Mmoja wa kiongozi wa Soko la Kisutu akifungua mkutano wa kampeni hiyo.
Meneja wa Mradi huo kutoka Shirika la Equality for Growth, Grace Mateh akizungumza kwenye kampeni hiyo.
Mfanyabiashara wa Soko hilo, Bazalo Tazoni akizungumza katika kampeni hiyo.

Previous
Next Post »