UWAJIBIKAJI WA SEKTA YA GESI NA MAFUTA WAITAJIKA. - Rhevan Media

UWAJIBIKAJI WA SEKTA YA GESI NA MAFUTA WAITAJIKA.



 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA), Ludovick Utouh akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la  Kimataifa linalojadili juu ya Uwajibikaji katika Sekta ya ya Gesi na Mafuta  lililoandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la  Kimataifa linalojadili juu ya Uwajibikaji katika Sekta ya ya Gesi na Mafuta lililoandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA), Ludovick Utouh  wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kongamano la  Kimataifa linalojadili juu ya Uwajibikaji katika Sekta ya ya Gesi na Mafuta lililoandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango akikabidhiwa kibao maalumu mara baada ya kuzindua Kongamano la  Kimataifa linalojadili juu ya Uwajibikaji katika Sekta ya ya Gesi na Mafuta lililoandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA), Ludovick Utouh jijini Dar es Salaam leo.

Previous
Next Post »