TAARIFA YA UTENDAJI WA TAKUKURU YAFIKA MEZANI KWA RAIS MAGUFULI. - Rhevan Media

TAARIFA YA UTENDAJI WA TAKUKURU YAFIKA MEZANI KWA RAIS MAGUFULI.


Rais Dkt Magufuli akipokea Taarifa ya Mwaka ya utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU):kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Kamishna Valentino Mlowola Ikulu jijini Dar es Salaam.
Previous
Next Post »