REDIO KUBWA NCHINI YAMPOTEZEA MSANII MZAWA. - Rhevan Media

REDIO KUBWA NCHINI YAMPOTEZEA MSANII MZAWA.


Hili ni bango la show kubwa jijini Mwanza toka redio Jembe fm.Wasanii wa mkoa huo watakao pamba tambasha hilo ni Fid Q,Mo Music na Baraka Da Prince.Huku msanii Young Killer hakiwa hayupo kwenye list ya wasanii hao.Tamasha hili lilifanyika mwaka jana huku msanii Young Killer akipotezewa baada ya kukataa malipo madogo aliyohaidiwa.



Previous
Next Post »