RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MSIBANI LEO. - Rhevan Media

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MSIBANI LEO.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ameongoza waombolezaji kuuga mwili wa marehemu Christina Lissu Mughwai, ambaye aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, leo kwenye Ukumbi wa Karimje, Jijini Dar es Salaam.


Previous
Next Post »