Msanii kutoka Tip top connection Tunda Man amepata ajali mbaya ya gari na dereva kufa papo hapo.Alikuwa na gari aina ya Toyota Aurion alikuwa akitoka mkoani Njombe baada ya kuingia nyuma ya lori eneo la Inyororo .Meneja wa msanii huyo Babu Tale amethibitisha hilo.

Sign up here with your email
