MMILIKI WA KAMPUNI ATOROKA NCHINI. - Rhevan Media

MMILIKI WA KAMPUNI ATOROKA NCHINI.


Mfanyabiashara Said Lugumi aliyeingia mkataba na Jeshi la Polisi wa bilioni 37 ametoroka nchi, anamiliki kampuni ya Lugumi Enterprises ltd

Inadaiwa kuwa aliondoka nchini Jumatatu wiki hii, siku ambayo Jeshi la Polisi lilitakiwa kuwasilisha mkataba huo kwa kamati ya PAC. 


Previous
Next Post »