MBARONI KWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE MWENYE UMRI WA MIAKA 15. - Rhevan Media

MBARONI KWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE MWENYE UMRI WA MIAKA 15.

Polisi jijini Lagos nchini Nigeria, inamshikilia Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 36 aitwae Imeh Akpan kwa kosa la kumbaka mdogo wa mkewe mwenye umri wa miaka 15 kwa miaka 10 mfululizo.
Taarifa ya Polisi inaeleza kuwa, mtuhumiwa huyo alikuwa akiishi na binti huyo tangu akiwa mtoto mdogo kabisa.
Mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za usalama, amesema bwana Imeh alikuwa akimfanyia vitendo hivyo tangu anaanza darasa la kwanza.
Kama waswahili wasemavyo ‘Za mwizi arobaini’, Jana jumatano bwana huyo alitiwa nguvuni na majirani baada ya kusikia kelele za mtoto huyo aliyekuwa akihitaji 
Previous
Next Post »