HAMAQ AZICHAPA NA MKE WAKE LIVE LIVE. - Rhevan Media

HAMAQ AZICHAPA NA MKE WAKE LIVE LIVE.


no comments
Kwa mujibu wa mtangazaji namba moja wa vipindi vya taarabu Tanzania, Didah ‘Didah’ Shaibu wa mitikisiko ya pwani kutoka Times Fm amedai kuwa muimbaji wa Taarabu na Bongo Flava Hammer Q amegombana na mkewe Salha na kufanya uharibifu mkubwa ndani ya Nyumba yao.
ugomvi
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Dida alitoa taarifa hiyo na kuwataka mashabiki kusikiliza kipindi cha Mitikisiko ya Pwani leo kujua sababu ya ugomvi huo.
“MAPENZI MAPENZI ILI NISAKATA KUBWA LIMETOKEA NYUMBANI KWA HAMMER Q NA MKEWE SALHA KITIM TIMU CHA ZUKA HAMMER Q AVUNJAA VYOMBO VYOTE PAMOJA NA KUPASUA MAKABATI NA VYOMBO PIA NA MAFENI KILA MMOJA ASEMA HAMTAKI MWENZIE UNATAKA KUJUA SAKATA HILI LA MKE NA MUME NA NI WANAMUZIKI WA TAARAB NCHINI KESHO KUANZIA SAA TISA KAMAILI NDANI YA MCHARAZO UTASIKIA KUTOKA KWA WAPENZI WAO KUHUSU NDOA YAO KUVUNJIKA TUNE 100.5 TIMES FM KUANZIA TISA KAMILI …

ugomvi
Previous
Next Post »