HAJI MANARA HAFUI DAFU KWA JERRY MURO. - Rhevan Media

HAJI MANARA HAFUI DAFU KWA JERRY MURO.


Usafiri wanaotumia wasemaji hawa wa timu kongwe nchini haufanani hata.Msemaji wa klabu ya mchangani ajichanganya kwenye usafiri maarufu wa bodaboda.Huku Jerry Muro akiwa na usafiri wa kukata anga za kitaifa na kimataifa.
Previous
Next Post »