WALIMU WAANZA KUPANDA DALADALA BURE LEO. - Rhevan Media

WALIMU WAANZA KUPANDA DALADALA BURE LEO.


Walimu wa mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya kinondoni leo wameanza kupanda daladala bure baada ya kukabidhiwa vitambulisho na mkuu wa wilaya hiyo Paul Makonda.Ikiwa ni sehemu ya mkakati elimu bure na shukrani kwa walimu.
Previous
Next Post »