
Aliyekuwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali 'CAG', Ludovick Utouh, amezindua rasmi taasisi ya uwajibikaji wa umma #JamboLEO
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema hali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi inazidi kuwa mbaya hasa kwa kundi la vijana #MTANZANIA
Walimu wakuu 8 wavuliwa madaraka kwa ulevi Igunga, huku waratibu kata saba wakipewa onyo kali kutokana na makosa mbalimbali #MTANZANIA


















Sign up here with your email