Wenjeeeeeeeee! Lembeliiiii!!!!!
Ezekia Wenje ameshinda pingamizi lilowekwa na Mabula kwenye kesi yake ya Uchaguzi.
Wadasi wa siasa na mwenendo wa kesi twaona ni hatua kubwa ya kurudi bungeni na kuwatumikia wana Mwanza
Vivyo hivyo kwa kamanda James Lembeli

Sign up here with your email
