MSANII WA BONGO FLEVA AMWEKA WAZI MPENZI WAKE KWA MARA YA KWANZA. - Rhevan Media

MSANII WA BONGO FLEVA AMWEKA WAZI MPENZI WAKE KWA MARA YA KWANZA.




Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barakah da Prince, ameng’aka na kuwaka vikali akiwashutumu watu wanaotaka kumkwamisha kimuziki na kumchafulia jina lake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Barakah ameweka picha akiwa na mrembo ambaye kamuegamia kifuani (haonekani sura) akimnadi kwamba ndiye mpenzi wake, akaamua kuwapa onyo wanaojaribu kutumia mbinu kushusha jina lake.
“MY LIFE na UYU tu ndio namtambua….. hao mnawatambua ninyi….HAYA NI MAISHA YANGU…Na yapo kwenye serekali yangu… Xo ustake niishi unavyotaka..mnajaribu sana kuchafua jina langu kwa mashabiki zangu…na pia mnajarbu kususha heshima yangu kwa wanaonieshim ila mmechelewa sana…nachoamini shabiki wa kweli awezi nichukia kwa upumbavu au uvumi wa kijinga..unaoendelea hii ya mtoto imegoma tengenezi nyingine tena..NA tambueni haya ni maisha yangu #SUPER na tumeshamju anaewatuma kunichafua” ameandika.

Barakah da Prince adai kuna watu wanekesha kumchafulia jina lake, aamua kumuanika mpenzi wake.

Previous
Next Post »