Ni hatua muhimu kwamba TAKUKURU imeanza uchunguzi dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Wabunge. Ni hatua kubwa itakayopelekea ukweli kujulikana na watakaokutwa na makosa kuchukuliwa hatua stahiki. Uchunguzi wa vyombo vya dola ni moja ya njia mwafaka ya kuhakikisha kila lisemwalo linakuwa na ukweli na pale ambapo suala limezushwa tu itajulikana na wazushaji hatimaye wataacha. Pale ambapo itakuwa ni kweli na hatua zikachukuliwa tabia za namna hii zitakoma. Bila uchunguzi wa kina Bunge litaendelea kugubikwa na kashfa hizi kwa ukweli au kwa hisia. Hatua iliyochukuliwa na TAKUKURU ni kubwa na ya kuungwa mkono kwa dhati
BONYEZA KITUFE CHA HOME KUTAZAMA BLOGU HII.
BONYEZA KITUFE CHA HOME KUTAZAMA BLOGU HII.
Sign up here with your email