STORY ILIYOCHUKUA HEADLINE SERIKALINI WIKI HII. - Rhevan Media

STORY ILIYOCHUKUA HEADLINE SERIKALINI WIKI HII.



Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenister Mhagamaametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSFDkt. Carina Wangweuliotangazwa leo Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa kwa wananchi.
Previous
Next Post »