
Baada ya agizo la mkuu wa wilaya Paul Makonda kwa madereva wa daladala walimu wa shule za wilaya hiyo kupanda daladala bure.Gari hili limeamua kuweka kauli ya kuwazalilisha walimu hao.Huku habari za mtaani makonda wa daladala hizo wakiwa wanawachukia walimu hao na mwisho kuwabeba walimu wasiozidi watatu kwenye daladala moja,
Sign up here with your email
