Zuberi Ali Maulid Spika wa Baraza la wawakilishi aliyechaguliwa katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi wa CCM Uchaguzi huo ulioendeshwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi,ulifanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui,Mjini Unguja.
M/kiti wa Uchaguzi huo,uliojumuisha wajumbe 72,alimtangaza Zubeir Ali Maulid kuwa mshindi baada ya kupata kura 55 na kuwashinda wapinzani
wake wawili aliyemaliza muda wake Pandu Ameir Kificho aliyepata kura 11 na Jaji Janeth Nora Sekihola aliyepata 4,kura 2 ziliharibika.
Sign up here with your email