Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya Dkt. kikwete akiagana na Mwenyekiti (Rais) wa Barza la Utawala la Libya Mheshimiwa Fayez Al-Sarraj baada y akufanya nae mazungumzo jijini Tunis
Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya Dkt. kikwete katika mazungumzo na Naibu wa Kwanza wa Spika wa Bunge la Libya Mhe. Emhemed Shoaib jijini Tunis
Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti (Makamu wa Rais)wa Baraza la Utawala la Libya Mhe. Mousa El-Kouni jijini Tunis
Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya Dkt Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi . za Kiarabu Mheshimiwa Nabeer Al-Arabi jijini Tunis
Sign up here with your email