
Naibu Waziri wa Afya. Dk. Hamisi Kigwangalla akiwa katika wodi ya akimama wajawazito hospital ya Temeke kukagua utendaji

Naibu waziri, wizara ya Afya, Hamisi Kigwangalla akitoa maelezo kwa uongozi wa Hospitali ya Temeke juu ya kuchukua hatua stahiki kwa wauguzi hao pamoja na kufanyia kazi maelekezo yote aliyoyaagiza
Sign up here with your email
