
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta nchini kuanzia Leo Machi 2, 2016.Bei ya Petroli imeshuka sh. 31 kwa lita sawa na asilimia 1.70, Dizeli sh. 114 kwa lita sawa na asilimia 7.10 Mafuta ya taa kwa sh. 234 kwa lita sawa na asilimia 13.75 ikilinganishwa na mwezi uliopita :Nchini kwa sasa Petroli itauzwa Sh.1,811, Dizeli sh. 1,486 na mafuta ya taa sh. 1,465
Sign up here with your email
