Naibu Waziri wa Afya,Dk Hamisi Kigwangalla akiwa na uongozi wa Hospitali hiyo akiwemo Mganga Mkuu wa Hospitali, Dk. Peter Datani (kulia) akitembelea katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi akikagua Mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Tumbi na kuamuru ifungwe hali yake ni mbaya majokofu yakiwa ni mabovu.
Sign up here with your email