MTOTO WA ODINGA AOMBA MSAMAHA. - Rhevan Media

MTOTO WA ODINGA AOMBA MSAMAHA.


Baada ya mdada wa Kikenya Rosemary Odinga kudanganya ulimwengu kuwa Olduvai Gorge ipo nchini Kenya na kujikuta akiwachukiza watanzania wengi kila kona ya dunia. Rosemary amejirudi na kuomba radhi kupitia Instagram huku akisema hakuwa na nia mbaya kusema kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya.

Previous
Next Post »