
Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzake wanne wasomewa shitaka moja la kumjeruhi katibu tawala wa mkoa wa Dar es salaam, katika mahakama ya Kisutu DSM
Akiwa na wenzake wanne Mbunge wa Kawe Halima Mdee, wame kana mashitaka na wametakiwa kujidhamini wenyewe kwa kiasi cha Shilingi Milioni mbili kila mmoja.
Mahakama hiyo imewaachia kwa dhamana baada ya kuweza kujidhamini.
Sign up here with your email
