MSANII NAY WA MITEGO AWATUSI WASANII TENA. - Rhevan Media

MSANII NAY WA MITEGO AWATUSI WASANII TENA.



Rapa Nay wa Mitego, amesema baadhi ya wazazi wanajuta kuzaa watoto ambao wamepata umaarufu kupitia sanaa, lakini hawana faida katika familia zao. “Imefikia wakati wazazi wao wanajuta kuwazaa watoto wenye majina makubwa, lakini hawana faida nyumbani kwao, wamekuwa mizigo kwa utegemezi wa kila kitu,” “Wasanii wa aina hii wapo wengi sina haja ya kuwataja lakini wanajijua, kama wanabisha nitawataja” alisema Nay.
Previous
Next Post »