IKULU YATOA TAMKO UCHAGUZI WA MEYA. - Rhevan Media

IKULU YATOA TAMKO UCHAGUZI WA MEYA.





Ikulu imevunja ukimya kuhusu ile sinema ya kuahirishwa mfululizo kwa uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam kwa kusema haitaona tatizo lolote iwapo Halmashauri hiyo itaongozwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Previous
Next Post »