MKUU WA WILAYA ATIMIZA LENGO. - Rhevan Media

MKUU WA WILAYA ATIMIZA LENGO.






Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda alipotembelea katika shule ya sekondari Turiani, Dar es salaam kwa lengo la kuzindua vitambulisho vitakavyotumika na Walimu wa Dar kwa ajili ya kupanda daladala bure kuanzia March 7 2016
Previous
Next Post »