MH EDWARD LOWASA AMTEMBELEA MAALIM SEIF. - Rhevan Media

MH EDWARD LOWASA AMTEMBELEA MAALIM SEIF.


Aliyekuwa mgombea urais kupitia mwavuli wa 'UKAWA', na Waziri Mkuu wa zamani 'Edward Lowassa', leo amemtembelea Makamu wa kwanza wa urais Zanzibar, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa chama cha CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Maalim Seif kwa sasa anajipumzisha kwenye Hoteli hiyo baada ya kupata nafuu kufuatia kulazwa kwa siku kadhaa katika Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.
Previous
Next Post »