MFAHAMU MSANII WA KIKE BONGO ANAYEENDESHA GARI LA THAMANI ZAIDI. - Rhevan Media

MFAHAMU MSANII WA KIKE BONGO ANAYEENDESHA GARI LA THAMANI ZAIDI.


MALAIKA NI MSANII WA KIKE ANAYEMILIKI GARI LA GHARAMA TANZANIA Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva, Diana Exavery Clavery 'Malaika', anasukuma Land Rover Range Rover Sport mpyaa (chukua muda kujua model yake) iliyoingia mjini hivi karibuni na ikipaki unaweza kuiona taswira ya mkwanja mrefu.Huenda akawa ndiye msanii wa Bongo Fleva anayemiliki mkoko wa gharama zaidi nchini kwa zilizowahi kuoneshwa

Previous
Next Post »