MFUMO MPYA WA KIELETRONIKI KUTUMIKA. - Rhevan Media

MFUMO MPYA WA KIELETRONIKI KUTUMIKA.




Serikali imeanzisha mfumo wa Kielektroniki wa malipo ya mishahara kwa watumishi wa umma ambao unalenga kuondoa tatizo la madai ya malimbikizo ya stahili zao.
Mfumo huo unajulikana kama LAWSON, unatumika kwenye ajira za watumishi wote nchini, wa Serikali Kuu na wale wa Serikali za Mitaa
Previous
Next Post »