
Gazeti la dira wiki iliyopita liliandika balozi Sefue ni jipu linaloishi Ikulu jana uteuzi wake ukatenguliwa.Huku habari maelezo wakilitaka gazeti hilo kuomba msamaha kama wanaushahidi waende mahakamani.Gazeti la leo wameandika waliotabiri yametimi wakimaanisha wanaushahidi juu ya hili.
Sign up here with your email