MFAHAMU KOCHA MPYA WA NEWCASTLE. - Rhevan Media

MFAHAMU KOCHA MPYA WA NEWCASTLE.


Klabu ya Newcastle United imemtangaza Rafael Benitez kuwa kocha mpya wa Klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya Steve McClaren aliyetimuliwa leo
Previous
Next Post »