Agizo la Waziri wa Michezo, Nape Nnauye kutaka mfumo wa tiketi za kielektroniki kuanza kutumika limegonga mwamba #TanzaniaDAIMA
Dawa za kutuliza maumivu Diclofenac na Gentamicin zinazotibu UTI zimegundulika kusababisha ugonjwa wa figo zikitumiwa holela #MTANZANIA
Baada ya Marekani kutaifisha mali za Mfanyabiashara Dawa za Kulevya Kamishna mstaafu wa Polisi, Nzowa amesema Shikuba alimtikisa #MTANZANIA
Sign up here with your email