Jumbo Camera House ni duka jipya ambalo limefunguliwa jana huku mgeni rasmi akiwa Madam Rita wa BSS.Duka hili lilikuwa likimilikiwa na marehemu Deo Filikunjombe kwenye sekta ya uuzaji kamera hivi sasa limepata mmiliki mpya baada ya mbunge wa Ludewa kufariki dunia.Pichani Madam Rita akiwa analia baada ya kumkumbuka marehemu Deo.
Sign up here with your email