Makamu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu alipokua akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Watumishi wengine wa Serikali walioapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam aliwaambia Wakuu hao wa Mikoa kua, hivi karibuni Serikali itaanza kutoka Milioni 50 kwa kila kijiji ikiwa ni kutumiza ahadi iliyotelewa wakati wa kampeni. Mh. Suluhu aliwaasa Wakuu hao wahakikishe fedha hizo zinatumaka kwa walengwa. Lengo kuu la fedha hizo ni kupunguza umaskini vijijini kwa kutoa mikopo kwa vijana na kina mama waweze kujiendeleza. Akihitimisha Makamu wa Rais aliwapongeza wote walioteuliwa na Rais akitaka wakafanye kazi wanayotakiwa.
Sign up here with your email