BENKI YAZINDUA AKAUNTI RASMI. - Rhevan Media

BENKI YAZINDUA AKAUNTI RASMI.



Kaimu ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo  wa Benki ya NMB,  Abdulmajid Nsekela akizungumza kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo kwa wateja katika mkutano mkuu wa nane wa mwaka 2015 wa wanachama wa  mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF)  jijini Arusha, juzi. Pamoja na wasilisho hilo, pia NMB ilizindua akaunti maalumu kwa ajili ya kukopesha wanachama wapya wa mfuko huo fedha kwa ajili ya kuanzia maisha.

Previous
Next Post »