KIKUNDI CHA WAASI CHAFANYA MAUWAJI. - Rhevan Media

KIKUNDI CHA WAASI CHAFANYA MAUWAJI.



Waasi wa kikundi cha ADF kutoka Uganda wameua raia 12 eneo la mashariki mwa Congo, wametekeleza mauaji hayo kwa kutumia mapanga. 

Miili ilikutwa imetapakaa sehemu mbalimbali, waasi hao pia walishambulia zahanati moja na kujeruhi watu
Previous
Next Post »