FAHAMU POZI LA WATANZANIA BAADA YA TUZO - Rhevan Media

FAHAMU POZI LA WATANZANIA BAADA YA TUZO




Kwanza ningependa kumshukuru Mungu,kiukweli amekuwa mwema na mwaminifu sana katika maisha yangu Pili,familia yangu hasa mama angu wamekuwa ni watu WA kuni support sana katika kazi zangu Tatu,watu wote walioshiriki katika movie yangu ya MAPENZI YA MUNGU...! Mwisho Nashukuru sana mashabiki zangu na wote mlionipigia kura kiukweli siwezi kuwataja mmoja mmoja lkn nyie ndo mmefanikisha hili..! Nimejifunza kuwa mvumilivu na kutokata tamaa ktk maisha,nimepitia magumu mengi mnayoyajua na mengine msiyoyajua lkn muda wote niliinuka nikashukuru Mungu na kuendelea na Safari,sikujali maneno mabaya ninayosemwa wala kukatishwa tamaa...Juhudi binafsi na kuomba Mungu vimekuwa nguzo yangu kwa kipindi chote...najua bdo wasioamini katika Mimi wapo lkn muda utazidi kueleza...naahidi kuwa sitolewa sifa Bali nitazidi kujituma na kuhakikisha natangaza nchi yangu Kupitia Sanaa yetu
Previous
Next Post »