
Walter Mondale, Makamu wa Rais, Marekani 1977-1981. Mgombea Urais Marekani 1984. Balozi wa Marekani Japan 1993-1996. Ya Asha Migiro ya nini?
Hii ni baada ya mh Asha Rose kuteuliwa kuwa balozi mapema juzi,pia kuwa mshiriki wa ugombea urais ndani ya chama na kushika namba mbili.
Sign up here with your email