
Wakufunzi watatu wakazi(Resident Tutors) wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima wamesimamishwa kazi kwa uzembe na kukiuka taratibu. Wanadaiwa kukiuka taratibu na kuwadanganya wananchi kuhusu uteuzi wa wanafunzi wanaopaswa kujiunga na Elimu ya sekondari katika vituo vya Elimu ya Watu Wazima.
Sign up here with your email