WAZIRI WA UJENZI AFANYA UTEUZI LEO. - Rhevan Media

WAZIRI WA UJENZI AFANYA UTEUZI LEO.

Embedded image permalink
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemteua Masanja Kungu Kadogosa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambako anakwenda kuchukua nafasi ya Mhandisi Elias Mshana ambaye anastaafu hivi karibuni.:Kabla ya Uteuzi huo Masanja Kadogosa alikuwa Mkurugenzi Idara ya Mikopo Benki ya Rasilimali Tanzania Uteuzi huo unaanza mara moja.:Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. 02 Februari, 2016
Previous
Next Post »