
Nchini Tanzania, licha ya kujitokeza kwa baadhi ya viongozi wa chama tawala, CCM, na taasisi za kiserikali kudai kuwa Rais John Magufuli hana mamlaka ya kuingilia mgogoro wa kisiasa uliovikumba visiwa vya Zanzibar, ambavyo ni sehemu ya Jamhuri hiyo ya Muungano, wanasheria wanasema madai hayo ni misimamo zaidi ya kisiasa kuliko Kikatiba.
Sign up here with your email