WAZIRI AMSIMAMISHA KAZI MKUU WA CHUO. rhevanstudio 17:06:00 rhevanstudio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora. Angellah Kairuki amemsimamisha kazi Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Said Nassoro sababu zikiwa ni ubadhilifu wa fedha. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email