
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kigwangalla akitoa taarifa ya wiki kuhusu ugonjwa kipindupindu nchini kwa waandishi wa habari ambao hawapo pichani. Katika taarifa hiyo ya wiki kuanzia Februari 15 hadi 21, mwaka huu jumla wagonjwa walioripotiwa kuugua ugonjwa huo ni 499...:ambapo kati ya hao wagonjwa sita walipoteza maisha pia tangu ugonjwa huo ulipoanza Agosti mwaka huu hadi sasa jumla 16,352 wameugua ugonjwa huo, kati ya hao 249 wamepoteza maisha.
Sign up here with your email