
Naibu Waziri wa Afya Hamisi Kigwangalla akiwa kwenye mdahalo wa asubuhi wa Policy Forum uliofanyika leo kuzungumzia Changamoto na fursa za kuondoa umaskini ifikapo mwaka 2030. Wadau walizungumzia jitihada za ziada zinazohitajika Kufikia malengo ya maendeleo endelevu (SDGs)


Sign up here with your email