NUKUU ZITTO KABWE ''RAIS AJARIBIWA NA MAWAZIRI WAKE'' - Rhevan Media

NUKUU ZITTO KABWE ''RAIS AJARIBIWA NA MAWAZIRI WAKE''



Taarifa kwamba kuna Mawaziri ambao hawakujaza fomu za Maadili au kuficha mali zao katika tangazo la Mali na Madeni ni jaribio kubwa kwa Rais Magufuli kuhusu dhamira yake ya kupambana dhidi ya Ufisadi. Sheria ya Maadili ya sasa, licha ya udhaifu wake, ikitekelezwa ( enforced) ni silaha bora ya kuweka misingi ya Maadili katika Uongozi wa Umma.
Previous
Next Post »