
Huu muonekano mpya wa jiji la Dar es Salaam kasi ya rais Magufuli jana amebainisha ujenzi wa flying over kuanza mwezi ujao.Huku mh rais akiwatania wazaramo wataenda kufunga ndoa kwenye abarabara hizo kutokana na uzuri wake.Huku Morogoro road toka Ubungo hadi Chalinze ikitanuliwa njia sita na flying over.Shuhuli ipo kwenye wananchi waliojenga pembezoni mwa barabara hiyo.Bila kusahau jengo la makao makuu ya Tanesco likiwa ndani ya sehemu ya barabara na amekua akilipigia kelele libomolewe toka akiwa waziri wa ujenzi.
Sign up here with your email
