MGANGA WA KIENYEJI ANUNUA GARI LA MILLIONI 340. - Rhevan Media

MGANGA WA KIENYEJI ANUNUA GARI LA MILLIONI 340.



Mbunge Steven Ngonyani alinunua gari ya zaidi ya Sh.Milioni 340 ili kuwaziba midomo mahasimu wake kisiasa. Jina lake maarufu Proffesa Maji Marefu ametokea kwenye taaluma ya uganga wa kienyeji na kuwa mbunge.Bungeni ameshawahi kujinadi waganga wenzake walimsaidia kufanyanya mambo wakati wa kampeni akashinda huku akiwauliza wabunge niwataje wengine humu waliokwenda kwa waganga washinde ilikuwa tafrani mjengoni Dodoma.
Previous
Next Post »